Nguruwe huyu mdogo hakuwa na nia kabisa ya kufika sokoni kwa ajili ya kuuzwa na kuchinjwa na badala yake akaamua kutumia mbinu mbadala kutoroka kutoka kwenye gari iliyokuwa inatembea.
Nguruwe huyo alirekodiwa na kamera akifanya mbinu na hatimaye
kufanikiwa kutoroka kutoka kwenye Lori kuepuka kuchinjwa ambapo kama
ukiangalia video hapa chini utaona alianza kwa kutoa kichwa nje na
baadae kuruka mzima mzima.
Mwisho wa siku Nguruwe huyo alijinasua kutoka kwenye mikono ya waliokuwa wamebeba Nguruwe kadhaa kuwapeleka kuuzwa
Mwisho wa siku Nguruwe huyo alijinasua kutoka kwenye mikono ya waliokuwa wamebeba Nguruwe kadhaa kuwapeleka kuuzwa
Post a Comment