Kila kukicha mastaa hawaishi kuwa na story, Vibe Magazine Tz tutajitahidi kadri ya uwezo wetu kuhakikisha haupitwi na yanayojiri kwa mastaa hawa! Hivi karibuni kinacho make headline kwa Jayz & Beyonce ni juu ya mtoto wao Blue Ivy, ambapo kuna petition imeandaliwa ya kuwashawishi wazazi wa mtoto huyo waweze kumchana nywele binti yao.
The change.org petition inadai kwamba Blue Ivy ana suffer ugonjwa ujulikanao kama “matted dreads and lint balls” . Blue Ivy ambaye ni mtoto wa super stars (Jayz & Beyonce) ame make headline za kiaina yake hivi karibuni kupitia change.org petition ambapo wanadai mtoto huyo anakosa haki yake ya msingi kabisa ya kuchanwa nywele! Vibe Tz magazine inakuletea story kamili kama ilivyoanzishwa na Jasmine Toliver.
Lengo la petition? Ni simple, Beyonce amchane mwanaye (Blue Ivy) nywele
Ili kufikia lengo hilo, Jasmine Toliver aka create page ya the Change.org page
“Kama mwanamke, naelewa umuhimu wa kutunza nywele”, alisema. “Inasumbua kumuona mtoto akiwa hayuko katika matunzo mazuri ya nywele. Wazazi wa Blue Ivy Sean Carter na Beyonce wameshindwa kutimiza majukumu yao kama wazazi kwa kushindwa mara kadhaa kuzichana nywele za mtoto wao. Hali hii imefanya nywele za mtoto kuweka hali Fulani hivi ya dreads na mipira pamba. Please hebu tujitahidi kuwashawishi wazazi wa Blue Ivy wamtunze vizuri mtoto wao kwa kutunza nywele zake”. Jasmine anadai alianza hii petition yake kama utani.
“Hakuna aliyefikiria hivyo before”, aliandika kwenye Facebook page yake, “it`s a clever joke! Hizi blogs na website zinafanya vizuri. Nywele zangu hata mimi kwa sasa zinaonekana kama za Blue Ivy isipokuwa unyevu nyevu. Ndio ziko natural! Nimekutana na watu kadhaa. Naweza kuwapotezea Beyonce na Jayz lakini nina jail kwa huyu mtoto mdogo. People make nothing out of something. Najivunia kuwa black.”
Mpaka sasa watu 1,700 wame sign petition hiyo
Watu hawakuwa nyuma kuchangia kwenye page hiyo
Na tusisahau Blue Ivy is just 2 years old!!!
Alipoulizwa kwanini alianzisha hii petition, Toliver alikuwa na haya ya kusema:
Kiukweli, kuna kitu kikubwa kinaendelea. “Sikuwa na matarajio yah ii issue kufikia social media kama ilivyo fika. Blue Ivy ni mtoto mrembo sana. Ana miaka miwili na si kwamba namnyanyapaa, lakini sikuwahi kufikiria kwa mtazamo wangu wa kuchana nywele na kuzi moisture inaweza kuwa big deal. Nina mu admire Blue, yuko natural. Niko natural pia, lakini haimaanishi ndio umuache tu bila kutunza nywele zake. Nina shauri matunzo kwenye nywele zake ili kumuongezea urembo alionao yule mtoto, kama kupaka mafuta ya nazi. Kuzitengeneza na organic conditioner. But Blessing to Blue, na ninaomba msamaha kwa yeyote kama nitakuwa nimekosea”
Post a Comment