Baada ya Tuzo za Mama zilizofanyika Durban South Africa, Nilipata nafasi
ya kufanya Interview ya kwanza na Diamond kuhusu Tuzo hizo, mategemeo
na kinachofuati kwenye muziki wake. Video iko hapa. Kwa lolote kuhusu
kazi yangu weka comment chini ya video au Facebook,twitter na Instagram @sammisago
Post a Comment