![](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjzBIViVTJQ_He41AS1v6cOZX3VJ6B784IiEzbwI5w3XYKaUe0XNM-kR2QZ4_Cyi2uTtC5P1IApVcrZiX4ehyLoSnzKCVHmfUpAT2bd8xSnkGlSVVwknM9sdftnEeDPBGozkrwywgB996s/s1600/1.jpg)
Kila jua linapochomoza, hitmaker wa ‘My Number One’ huwa na jambo la kuwafanya mashabiki wamzungumzie na ndio maana kila siku Diamond amekuwa kwenye headlines mbalimbali.
Akiwa na video aliyomshirikisha Iyanya
kibindoni, staa huyo amekuwa akipost picha zinazomuonesha akiwa msituni
na msichana wa kizungu pamoja na farasi huku akiwa amevaa kitamaduni
kama askari wa enzi za kabla ya ukoloni.
Post a Comment