Aliyekuwa Kocha Mkuu wa Simba SC, Zdravko Logarusic akiwa ndani Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA).
Loga akiwa amekaa kwenye begi kabla ya kuingia ndani ya uwanja huo.
Kupitia mtandao wa Facebook, Loga ametupia picha mbili za juu huku akiandika “by by Tanzania, akimaanisha bye bye Tanzania.
Kocha huyo ameondoka na ndege ya Shirika la Tukish. Kama safari yake imekwenda vizuri, tayari Loga atakuwa amewasili kwao salama.
Post a Comment