Stori
nyingine kubwa kwa staa wa muziki duniani kutumia maneno ya Kiswahili
nakumbuka ilikua December 6 2013 baada ya kifo cha Mzee Nelson Mandela
ambapo Nicki Minaj aliandika maneno ya Kiswahili kwenye page yake ya
instagram ‘madaraka kwa watu’
Saa kadhaa zilizopita headlines zimehamia kwa P Diddy ambae ameweka
hii picha hapa chini kwenye page yake ya instagram na kuweka hashtag ya
#SIMBA
Post a Comment