Ni muda sana toka tusikie tetesi zikitambaa kuwa Rihanna yupo na mwanamuziki kutoka Young money,
Drake. Hali ya hewa ikiwa bado
haijatulia tukasikia tena mara yuko kwa chris Brown na mipango ya
kurudi, baada ya kuchoshwa na tetesi kutoka kwa paparazi, kabwa hata ya
sherehe za VMA hazijaanza, yeye
pamoja na best yake wakaamua kwenye kwenye ka-trip kadogo wakajiliwaze wenyewe na kula gud tymez, na haya ndio yaliyojiri.
Post a Comment