FAIDA kubwa mwanaume anaweza kupata akidate na Loveness Diva ni promo za kutosha mbele ya followers wake kwenye mitandao ya kijamii.
Ukimtoa Mo Rocka, huenda GK akawa boyfriend wa mtangazaji huyo wa
Clouds FM aliyewahi kumwagiwa jumbe za mahaba kuwazidi hata Prezzo na Mr
Anonymous aka mwanasiasa! Katika muendelezo wake wa kuutangazaji
ulimwengu jinsi anavyojisikia kuwa ‘first lady’ wa mkuu huyo wa ECT,
Diva ameshare picha yake Instagram na kuandika:
“Umependeza Mwaya My love…..everyday in my life is Perfect
because it starts and ends with hugs and kisses to the man i love more
than anything else. My main…my main man. Just love you…just the way
ulivyo.
"Holding your hands cuddling in your arms….Precious
moments…hours, days;months and finally A year….love you babe..forever
eternally. Yo the most romantic …yo the most Perfect husband taken by
me..i love you baby and kazi Njema Inshaallah Mshahara wako unipe
nikuwekee…..hehee. Yo The most Perfect Man i could ever have had …i love
you My Gk emojiemojiemojiemoji.”
Post a Comment