Wapendwa wanaJF, kwa wale waliowahi kupitia
hatua ya uchumba hadi kufikia ndoa au hata wale ambao hawajawahi kupitia
hatua hizo, lakini wameona mifano kadhaa kwenye jamii, watakubaliana na
mimi kwamba ndoa nyingi "zinaumwa" na zinahitaji kutafutiwa "chanjo" au
"tiba!"
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment