MSANII
wa filamu aliye pia mjasiriamali, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’ ametoa
kali ya mwaka alipotoa kauli kwamba kutokana na makalio yake makubwa,
anapokuwa anatembea barabarani husababisha ajali kwani baadhi ya
madereva wakware hukosa umakini kwa kumkodolea macho.
Msanii wa filamu aliye pia mjasiriamali, Lulu Semagongo ‘Aunty Lulu’
Akizungumzia makalio yake na matiti anayodaiwa kuyabusti kwa dawa za
Kichina, Aunty Lulu alisema: “Unajua umbile langu linawachengua sana
baadhi ya wanaume, achilia mbali hilo la kusumbuliwa, wapo baadhi ya
madereva ninapokatiza barabarani hunikodolea macho na kushindwa kuwa
makini.
‘Aunty Lulu’ akiangusha pozi hatari.
“Matokeo yake baadhi hugonga magari mengine na wengine hujikuta
wakipeleka magari yao pembeni bila kujijua na kupata ajali, uroho wao
unawaponza.”
Post a Comment