Binti wa mastaa wa Hollywood Demi Moore na Bruce Willis mwenye umri wa
miaka 22 ametembea mitaani ya New York City bila blauzi wa nguo yoyote
juu yaani matiti nje kupinga sheria za Instagram zinazopinga picha za
utupu kwa wanawake.Instagram ilifuta account yake kwa sababu alitupia
picha za masweta aliyo-design ambayo mbele yana picha za wanawake wawili
walioanika matiti nje.
Kwa kutumia hashtag #FreeTheNipple, alitumia mtandao wa twitter kumaliza hasira zake juu ya mtandao wa Instagram huku pia akitumia picha za Rihhana alizopiga akiwa mtupu kwa ajili ya jarida la LUI kama profilee picha yake. Kama umegundua pia account ya Rihhana ilifutwa muda mfupi baada ya kutupia picha zake akiwa mtu. Instagram hawakuwa nyuma,walijibu mashambulizi.

Post a Comment