
Ulipoamua
kumgawia Moyo wako uliapa KWA SHIDA NA RAHA,huku unatabasamu ndani ya
Suti/Shela yako ukiwa na lots of Expectations LAKINI usisahau
umeoa/umeolewa na BINADAMU mwenye Mapungufu hata kama hukuyaona kabla
hujaingia ndoani..
Ameshakuwa mkeo/mmeo...Unagundua kwamba AMECHEAT na ushahidi unao...Mna mtoto/watoto ndani tayari
MASWALI YA KUJIULIZA:
1.Ukimuacha kwa sababu amekusaliti na kumuona hafai,Nani ni Mkamilifu??
2.Ukimuacha kwa sababu amekusaliti,huyo unayeenda kumpa moyo wako upya yeye sio Binadamu ni Malaika?
Zimwi
likujualo halikuli likakwisha,Tena Heri huyo wako ukute ana udhaifu
mmoja tu wa 'kujinyoosha kidogo tu kamguu ka kati' ni afadhali kudeal na
Kitu kimoja..Unaweza ukamuacha mwenye kaudhaifu kamoja ukaenda
kupambana na mtu mwenye madhaifu 6...Sawa hana udhaifu kama wa yule ila
ana mijiudhaifu mingine tu kama 6 hivi..Hajali...Levi..Hakufikishi...ila
ANA HELA...
Umekuta
Condom kwenye Suruali ya Mmeo asubuhi ukiwa unamnyooshea???Mwambie tu
Baba nimeona..Nakutakia kazi njema..na busu takatifu juu...Akirudi jioni
mpikie chakula anachopenda na mpe penzi moja matata ambalo hujampa kama
Mwaka na usimkumbushie ulichoona asubuhi MILELE...Lazima awaze sana na
kujirudi...na ipo siku atafunguka tu na ku-apologize YEYE
MWENYEWE!Mwanaume hakomeshwi kwa MANENO..tushayazoea..Ukimtukana ndo
unaharibu zaidi...Mwanaume anakomeshwa kwa Akili na Busara..How you
handle him at his faults...Ajue amekucheat umejua na ndo unampa HUBA
TEULE zaidi,it will make him think twice kwanini anakutenda na wewe
unazidi kumpenda..Sasa kizazi hiki cha Wanawake WANATAKA
USAWA...NTAMKOMESHA...TIT FOR TAT...AKITOKA NA MIMI NATOKA
Pole sana...Mwanamke mpumbavu huibomoa nyumba yake kwa mikono yake mwenyewe...Asema BWANA!
Ukiguswa Gusika halafu HAMASIKA!
Post a Comment