0

Mwanamitindo, Amber Rose amekiri kuwa bado anampenda mume wake Wiz Khalifa licha ya kwamba wameachana.2011 MTV Video Music Awards - Arrivals“Inaumiza,” Rose alijibu baada ya kuulizwa kuhusu anavyokabiliana na talaka. “Mimi ni binadamu, unajua? Nipo kwenye talaka. Nampenda mume wangu, nammiss sana na mambo mabaya hutokea.”
Amber alimshutumu Wiz kuwa alisaliti ndoa yao.

Post a Comment

 
Top