WANAWAKE watu wazima'Miji Mama' mwishoni mwa wiki iliyopita ilimwaga radhi hadharani eneo la Msamvu Magodolo jirani na kiwanda cha Komoa.Miji Mama hiyo ambayo baadhi yao ni wake za watu walifanya uchafu huo kwenye sherehe ya kumtoa mtoto wa rafiki yao'Arobaini'.Wanawake hao wambao wana kikundi cha kusaidia kwenye shida na raha walifanya sindano hilo la kuvua nguo 
 
Mmmh mama fulani nae utamu wote nje



Maadili ya mtanzania yanaporomoka.
 
Top