0
Jeshi la Polisi Mkoani Mbeya linamshikilia mtu mmoja 

aliyefahamika kwa jina la Ahadi Jesikaka Mkazi wa Kijiji cha 

Ngyekye kwa kosa la kuwauzia watu nyama ya mbwa.


Kamanda wa polisi Mkoa wa Mbeya, Kamishina Msaidizi 


Mwandamizi wa Polisi Ahmed Msangi amewataja watu 

waliouziwa na kutumia kitoweo hicho kuwa ni Enock 

Nsemwa, George Nsemwa, Anyandwile Mbwilo wote wakazi 

wa Ngyekye.

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

LAANA

 
Top