Akikitemea cheche kinasa sauti cha paparazi
wetu baada ya kuulizwa kuhusiana na hatma ya malumbano yao ya mara kwa
mara na Chuchu, Johari alisema hataki kumzungumzia mwanadada huyo kwani
anampaisha bure.
“Nimeamua nikae kimya kabisa wala sitaki kuzozana na mtu
nitajishushia hadhi kwa mashabiki wangu bure, siwezi kuwa namnufaisha
mtu kwa kumpandisha daraja kupitia mgongo wangu kutokana na malumbano,”
alisema Johari.
Tunazani ungependa kusoma hizi
Stori ya Binti aliyeongoza Matokeo ya darasa la saba kuozeshwa kwa mahari ya kilo 2 za sukari
Pamoja na Serikali kuendelea kupiga vita wazazi kuwaoza mabinti zao wakiwa bado wadogo lakini bado [...]
Dec 04, 2014Mwanamke Aficha maiti ya mumewe ndani kwa miezi sita!!!!
Huwa inakuwa ngumu kuamini kinachoendelea pale ambapo mtu ambaye unampenda sana inapotokea anafariki[...]
Dec 04, 2014Michepuko Sio Dili: Ona dada huyu anavyomdhibiti mumewe Asichepuke
Msichana aliyetajwa kwa jina la Abbie Bartlett, wa Ibiza Hispania, amewashangaza wengi baada ya kumv[...]
Dec 01, 2014Watoto wa Rais Obama ndani ya Skendo ya kuvaa ngu za Mitego!!!
Rais Barrack Obama na wanawe Sasha na Malia. Afisa mmoja wa chama cha Republican amewakosoa mavazi y[...]
Dec 01, 2014Unajua Wasichana Hupenda Mabwana wa Kabila Hili? Bofya hapa kulijua
Sifa za mabwana wa Kisukuma. Ma giant, wamepanda na wameshiba, fully protected ukiwa naye mmoja. Wan[...]
Nov 30, 2014Hiki ndicho alichokiongea yule Hausigeli ( Dada wa kazi ) aliyempiga Mtoto Uganda.
Baada ya habari za yule msichana anayefanya kazi za ndani Uganda kuchukua headlines kat[...]
Nov 30, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.