Home
»
WASANII
» Picha: Davido awazawadia meneja na producer wake magari mawili ya kifahari
Staa wa Nigeria David Adedeji Adeleke maarufu kwa jina la Davido, ameamua kuchota sehemu ndogo ya pesa nyingi alizofanikiwa kuingiza mwaka huu, na kuwanunulia zawadi za magari ya kifahari watu wake wawili muhimu ambao wana mchango mkubwa katika mafanikio ya kazi zake za muziki anayoendelea kuyapata.
Davido amemzawadia meneja wake Kamal Ajiboye gari aina ya Mercedes 450 GL pamoja na producer wake aitwaye Shizzi amempa Porsch Cayenne.
Kupitia Instagram yake Davido ameshare picha ya magari hayo (hapo juu) na kuandika:
“CONGRATS MY MANAGER @KAMALAJIBOYEAND MY ACE PRODUCER @iamshizzi issue!! my whole team dey chop!”.
Tunazani ungependa kusoma hizi
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.