0
Nicki Minaj ameribariki jarida la V linalotarajiwa kuingia mtaani November 13.
nicki-minaj-v-magazine-1-1415210169
Kwenye mahojiano na jarida hilo, Nicki amechukua nafasi kuwajibu wale waliokosoa video yake ya Anaconda.
“Kama mwanaume angefanya vilevile na wasichana warembo, hakuna ambaye angejali,” anasema.
nicki-minaj-v-magazine-3-1415210246
“Unazungumzia kuhusu watu wa habari ambao hawajui chochote kuhusu utamaduni wa hip-hop. Kwanza ni ukosefu wa heshima hata kutoa maoni kuhusu kitu wasichokijua. Hawasemi chochote wanapokuwa wanaangalia show ya Victoria’s Secret na wanaona matiti na vichupi. Aibu kwao. Aibu kwa kuzungumzia “Anaconda” na sio kuzungumzia biashara zingine zinazotukuza ngono.”
Hizi ni picha zingine za Nicki Minaj kwenye jarida hilo.
nicki-minaj-v-magazine-4-1415210222
nicki-minaj-v-magazine-2-1415210196

Post a Comment

 
Top