0
Huyu ni mtoto wa mchungaji mashuhuri sana katika taifa letu lakini anamtia baba yake aibu kwa
image

sababu toka aende ughaibuni,yaani Marekani kimasomo, imekuwa
ni shidaaaaaaaaa!!!


Ata bila aibu yeyote anavaa hivi hivi hata katika maeneo ambayo siyo ya mitoko hii. Dunia ina mengi sana!!!
Sema uzuri mmoja ni kwamba kwa wenzetu hili ni jambo la kawaida, ingekuwa ni kwetu sasa!!!!! Picha hizi zilipotumwa kwa baba yake alitaka kuzimia kwani alijua
kuwa amempoteza mtoto! Pia hakutegemea kuwa angeweza kubadilika kwa kipindi kifupi namna hiyo, tena huku akijua dhahiri kuwa yeye ni mtoto wa Mchungaji mashuhuri!!!! DUNIA IMEJAA LAANA!!!!

Post a Comment

 
Top