MSANII wa Bongo Fleva, Baby Madaha anadaiwa
kuambukizwa gonjwa hatari la zinaa ambalo halikutajwa jina lakini
likielezwa kuwa linampa wakati mgumu kisaikolojia. Chanzo kimoja
kimeiambia show bize kuwa, nyota huyo amekuwa akitumia dawa za kusafisha
haja ndogo kwa muda mrefu lakini bila mafanikio.
Msanii wa Bongo Fleva, Baby Madaha.
Show bize ilimsaka Baby Madaha mwenyewe ambapo aling’aka kwa ukali.
“Hizo habari nani kakupa wewe? Hayo si moja ya maisha ya wanadamu kwani
kipi kibaya hapo? Oke, sawa naumwa na hao wanaume wanaotaka nikatibiwe
wanajua mimi naumwa nini? Magonjwa ya zinaa si yana dawa?” alihoji.
Hata hivyo, mrembo huyo alisema yeye ana tatizo la haja ndogo kuwa chafu lakini si ugonjwa wa zinaa.
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.