Home
»
WASANII
» Unajua Msanii Davido aliwakubali Mademu gani Baada ya Kutua Bongo!!
Maneno hayo yamesemwa na msanii mashuhuri sana wa Nigeria, Davido pale
alipokutana na picha za wagombea umiss wa mwaka 2013 pindi alipotembelea
Tanzania akiwa katika kazi zake za kimziki.
Msanii huyo alidai kuwa alikuwa anafikiria kuwa ni Nigeria ndiyo
inayongoza kwa wanawake warembo barani Afrika, lakini sasa hivi kagundua
kumbe kuna eneo ambalo linastahili sifa hiyo ambalo ni Afrika ya
Mashariki. Kweli kutembea kuona mengi!!!
Davido aliongezea kuwa wanawake mvutia zaidi ni Watanzania na wale
wenye asili ya Kiutu na Kitusi wa Burundi na Rwanda.aliendelea kufungka
zaid ka mpka wanamtamanisha kuoa huku...
Alidai kuwa warembo wa maeneo hayo walivyo wazuri na wenye mvuto wa
kimapenzi, utadhani kuwa hawaendi chooni ama hawakuzaliwa na binadamu wa
kawaida!!!!! Jamaa kashikwa pabaya kweli kweli!!
Watu wengi sana walikubaliana na maneno ya msanii Davido kwa maana ni
dhahiri kuwa, ukifanya utafiti kuanzia kule kusini mwa afrika mpaka
kaskazini, magharibi mpaka mashariki, utajionea
Tunazani ungependa kusoma hizi
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.