0
Feza ameiambia Mpekuzi kuwa ni yeye mwenyewe ndiye alitoa taarifa hiyo kupitia Twitter japo aliamua kuifuta tweet hiyo.
 
“Ni kweli tumeachana, siwezi kuongelea in detail, ya matatizo vitu vingine vitafunguka in the future, lakini kwa sasa it’s better when I apart, so nilitangaza through Twitter and later nikaifuta, lakini message sent,” amesema Feza.

Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

LAANA

 
Top