Akizungumza na Mpekuzi, muigizaji mwenzake, Batulli amesema
wanashindwa kuingilia suala hilo moja kwa moja kwa sababu limekaa
kifamilia zaidi.
“Tunafuatilia lakini unajua bahati mbaya kidogo tatizo lake limekaa
kifamilia zaidi, yaani ni mke na mume. Kwahiyo mimi siwezi kuingilia
sana kwa sababu at the end wale ni mke na mume wanatakiwa waheshimiane
wenyewe. Wanadai mwanamke amepigwa na ameumia vibaya na bado yupo
hospitali. Sasa kisheria nasikia hawawezi kumuachia mpaka mwanamke apate
nafuu,” alisema Batuli.
Hakimu wa wa mahakama hiyo ya mwanzo ya Manzese/Sinza aliahirisha kesi hiyo hadi Desemba 15 mwaka huu itakapotajwa tena.
Post a Comment