Good news ninayotaka kukupatia ni kwamba wakati single hiyo ikiendelea kufanya vizuri kwenye spika za radio yako soon inatarajiwa kuona kwenye chati za TV na hizi ndio baadhi ya picha za Behind The Scene ambazo zikimuonesha Mwana FA na Ali Kiba wakiwa location katika uandaaji wa video hiyo mpya Kiboko Yangu.
![]() |
Ali Kiba akiwa na Warembo katika utengenezaji wa video hiyo mpya ‘Kiboko Yangu aliyoshirikishwa na Mwana FA. |
Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.