0
Staa wa mitindo duniani pamoja na kuonekana kuwa kimya kwa sasa lakini ameonekana kuvunja rekodi katika mtandao wa kijamii wa Instagram kupitia picha zake za harusi na staa mwenzake Kanye West. 

Kanye akimbusu mkewe Kim
Wawili hao ambao ambao wamejaliwa mtoto wa kike waliyempa jina la North,walifunga ndoa mwaka huu mwezi May na picha zao zilianza kusambaa mara tu baada ya kumalizika kwa sherehe ya harusi hiyo ya kifahari iliyofanyika nchini Italy na kuhudhuriwa na mastaa mbalimbali duniani.
kanye na kim wakiwa na mtoto wao North

Mwanadada kim alivotokelezea kwenye harusi yake


Post a Comment

 
Top