0
Diamond Platnumz ameamua kuwapa darasa wanaume wa Afrika Mashariki jinsi wanavyotakiwa kuwatreat wapenzi wao and actually wanawake wa Uganda na kwingineko, wamekoma na mbwembwe za hitmaker huyo wa ‘Number One’ kwa mpenzi wake, Zari Tlale aka The Bossslady.
Zari
Diamond anaendelea kujichukulia tu marks kutoka kwa mrembo wake huyo wa UG, kwa kumfanyia ‘mandingo’ ambayo utafiti unaonesha kuwa ndio yanayowapagawisha aka kuwadatisha zaidi wanawake. Na pengine huenda staa huyo amempenda kupita kiasi mrembo huyo kwakuwa hatukumbuki kama Penny na Wema wamewahi kupewa huduma hizo kama anazozipata Zari


Post a Comment

Emoticon
:) :)) ;(( :-) =)) ;( ;-( :d :-d @-) :p :o :>) (o) [-( :-? (p) :-s (m) 8-) :-t :-b b-( :-# =p~ $-) (b) (f) x-) (k) (h) (c) cheer
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.

LAANA

 
Top