0

Steve Nyerere akigonga menyu.
MWENYEKITI wa kundi la Bongo Movie Unity, Steven Mengere ‘Steve Nyerere’ amenaswa akipiga msosi wa maana.
Katika pitapita za hapa na pale, kamera yetu ilimnasa Steve maeneo ya Sinza katika hoteli maarufu ya Shamool akila msosi wa maana na alipohojiwa alidai kuwa ameshazoea kula kwenye hoteli zenye hadhi  kwani anaogopa uswahilini atanaswa na mapaparazi.
Steve baada ya kunaswa na paparazi wetu.
“Unajua mtu ukishakuwa maarufu unaogopa hata kula kwa mama lishe kwa sababu waandishi wakikunasa wanaenda kukuandika tu hata mtaani watu wanabaki wakikushangaa ndiyo maana nimekuja kula hapa,”alisema Steve.

Post a Comment

 
Top