Boyfriend wa muimbaji wa Uganda, Desire Luzinda, Flanklin Emuobor amevujisha picha za utupu za mrembo huyo.

Raia huyo wa Nigeria amesema amevujisha picha hizo kwakuwa alichoshwa na tabia za uchepukaji za muimbaji huyo maarufu ambaye anashutumiwa kutembea na wanaume kibao.

Tayari mrembo huyo amejiondoa kwenye Facebook.
Jina la Desire Luzinda limetrend kwenye mtandao wa Twitter kutokana na picha hizo huku watu wakiigiza pozi la kwenye picha hiyo.

Post a Comment
Click to see the code!
To insert emoticon you must added at least one space before the code.