0
Ni wiki zimepita toka Tanzania imshuhudie rapper T.I kutoka Marekani ambae alifanya show ya Fiesta mbele ya maelfu ya watu kwenye viwanja vya Leaders Dar es salaam, show ambayo baadae aliporudi Marekani alihojiwa na vyombo vya habari na kusema hajawahi kufanya show mbele ya watu wengi kama vile maishani mwake.
2Chainz


Tukiachana na hiyo, Kenya wamepata ugeni pia ambapo rapper 2 Chainz amethibitisha kwenda kwenye nchi hiyo kupiga show ya Jameson Party Nairobi.


Post a Comment

 
Top