0
Baada ya Diamond kulamba tuzo 3 Channel O, Na jana December 10 2014 Watanzania Kumpokea kwa shangwe mwakilishi wao kwenye BBAHotshots Afrika Kusini, Idris ambae ndie alitangazwa mshindi wa dola za kimarekani laki tatu

Happiness Watimanywa

Good news nyingine ni mshiriki wetu kwenye Mashindano ya Miss World, Happiness Watimanywa ambae saa chache zilizopita imethibitika kwamba ameiwakilisha vizuri Tanzania na kuifanya iingie kwenye kumi bora za mashindano ya Miss World People’s Choice.

Aliandika kwenye instagram “Tanzania Asanteni kwa support na uzalendo, tuendelee mpaka namba moja!!!!! #vote #PigaKura #DownloadTheApp #MissWorld2014”– @happinesswatimanywae.

Katika list hiyo, Happiness ameshika nafasi ya tisa katika kumi bora kama inavyoonekana hapa chini.




Jana December 10 2014 Watanzania walimpokea kwa shangwe mwakilishi wao kwenye BBAHotshots Afrika Kusini, Idris ambae ndie alitangazwa mshindi wa dola za kimarekani laki tatu

Post a Comment

 
Top