0
Baiskeli hii mpya iliyotengezwa kwa dhahabu imezinduliwa nchini unigereza ambapo bei yake ni pauni za uingereza shilingi 250,000 sawa na milioni 676.5 za Tanzania.
Baiskeli ya dhahabu

Cha ajabu ni kwamba bei hii imezidi hata ile ya gari aina ya Ferari,Baiskeli hiyo imetengenezwa na kampuni ambayo hutengeza vitu vya kifahari, Goldgenie na imetengezwa kwa dhahabu.Kiwango cha dhahabu iliyotumiwa ni karati 24. Wataalamu wa kampuni hiyo ya Goldgenie, wameweka dhahabu katika vyuma vya baiskeli hiyo vyote ikiwemo mnyororo na mfumo unaofanya baiskeli kwenda na kubadilisha gia vyote vimewekwa dhahabu.Mkurugenzi wa kampuni iliyotengeza baiskeli hii anasema inaweza kuendeshwa katika barabara kama baiskeli nyinginezo.




Post a Comment

 
Top