0
Hii ni single mpya ya msanii wa Hip Hop  mwamba wa Kaskazini Joh Makini wimbo unaitwa XO akiwa amemshirikisha G Nako.
Joh makini

Isikilize hapa mtu wa nguvu kisha usisahau kuniandikia ya moyoni ili Joh Makini na G Nako wakipita hapa wasome kutoka kwa watu wao wa nguvu..
Bonyeza hapa kuingia kuisikiliza na kudownload moja kwa moja….>>>>  HAPA
Ni halali yako kupata kila stori inayonifikia mtu wangu, niko tayari kukutumia wakati wowote kupitia twitter instagram na facebook ukijiunga na mimi kwa kubonyeza 

Post a Comment

 
Top