Home
»
MATUKIO
» INASIKITISHA WATOTO WATEKETEA KWA MOTO WAKIWA WAMELALA TABORA
|
Watoto hao walipokuwa wamelala na kuteketea kwa moto ambao chanzo chake inadhaniwa kuwa ni hitilafu za umeme.
|
Miili
ya watoto wawili wa familia moja Daniel Paul(8)na mdogo wake Emmanuel
Paul(3) ambao wamepoteza maisha baada ya nyumba waliokuwa wakiishi
kuteketea kwa moto huku wakiwa wamelala ndani majira ya saa moja asubuhi
peke yao huko eneo la mtaa wa Rufita Mwanza road Tabora mjini |
|
Post a Comment