0

MAJANGA! Mtoto mzuri Bongo Movies, Irene Paul amefunguka kuwa licha ya wasanii wa filamu kujitutumua lakini wameshindwa kuvuka mipaka ya Kimataifa.

Mtoto mzuri Bongo Movies, Irene Paul
Akieleza masikitiko yake, Irene alimtaja Lupita:
“Inaniuma sana kumuona Lupita Nyongo amevuka mipaka ya Kenya kikazi, sisi tunashindwaje?” alisema Irene

Post a Comment

 
Top