Home
»
WASANII
» SHOW YA DAVIDO NEW YORK VURUGU UKUMBI KUJAZA KUPITA KIASI NA MTU MMOJA KUPOTEZA FAHAMU POLISI WAVUNJA SHOW
Davido afunika mbovu kwenye ukumbi wa Pulse 48 Brooklyn, NY. Ukumbi huu
unauwezo wa kuingiza watu zaidi ya Elf 1 lakini ulijaa na kusababisha
vurugu na watu kupoteza fahamu kutokana na kukosa hewa. Kiingilio cha
show hii kilikuwa ni kuanzia Dollar 40, ukinunua kabla ya show na
mlangoni ilikuwa Dollar 60, VIP kwa watu wanne ilikuwa Dollar 650
Post a Comment