MAMAA Majanga, Snura Mushi amefunguka kuwa kinachowaponza wanawake wengi wanaoiba wanaume za watu ni kupenda kujitangaza.
Snura alisema kwa kulitambua hilo ndiyo maana
aliwatonya kuwa ukiiba mume wa mtu fanya siri katika wimbo wa
Nimevurugwa. “We ni mwizi halafu unatangaza kila sehemu unatafuta nini kama siyo matatizo na mwenye mali…,” alisema Snura.
Ili kutazama mahojiano kamili na jinsi Snura alivyofunguka mambo mengi, ingia katika website ya www.globalpublishers.info ili upate uhondo kamili.
Ili kutazama mahojiano kamili na jinsi Snura alivyofunguka mambo mengi, ingia katika website ya www.globalpublishers.info ili upate uhondo kamili.
Post a Comment