Baada ya Mwanadada Penny aliyewahi kutoka na Msanii Diamond Platinum
kupost na kwenye Account yake ya Instagram akionekana amekaa meza moja
na msanii wa Bongo Movie Jacob Steven (JB) pamoja na mzungu mmoja na
kuandika kuwa "kuna kitu kikubwa kinakuja katika viwango vikubwa na
kibiashara zaidi" maswali ya watu wengi ni Je mwanadada huyo ameamua
kuingia rasmi kwenye soko la Bongo Movie au ni Mchongo tu flani
anategemea kuupiga, hilo hatujui lakini tusubiri inawezekana ikawa ni
movie -

Post a Comment