Wasamaria wema wakimbeba dereva bodaboda kumpeleka kwenye gari.
Bodaboda ikitolewa eneo la tukio.
Dereva bodaboda akiwa kwenye gari tayari kupelekwa hospitali kwa matibabu.
DEREVA mmoja wa pikipiki 'bodaboda' yenye
namba za usajili T 555 CFE ambaye jina lake halikufahamika mara moja
amevunjika mguu baada ya kugongana na gari aina ya Toyota Land Cruiser
lenye namba DFP 9597 mkoani Morogoro. Ajali hiyo imetokea barabara ya
zamani ya Dar es Salaam jirani na stendi ya daladala katika Manispaa ya
Morogoro mapema leo
Post a Comment