Dada huyu wa huko kenya, inasemekana kuwa upigaji wa picha za uchi ndio
kitu kilicho mpa umaarufu mkubwa sana kuliko hata kushiriki Big Brother
Africa. Watu wanadai kwamba amekua akionekana mara kwa mara mitandaoni
tofauti na washiriki waliopita kutokana na picha zake hizo za uchi. Pia
imeshauriwa kuwa tabia hiyo inaweza kumjengea picha mbaya hata kumfanya
kukosa madili mengine makubwa.
Post a Comment