0




Na Halima Goronya
Staa wa bongo movie nchini Johari amefunguka kuwa starehe ya pombe ni sehemu ya maisha yake hivyo kamwe hatopweza kuiacha hadi mwisho wa maisha yake kwa vile hana starehe nyingine aipendayo kama hiyo.
Johari aliongeza kusema katika maisha yake amejiraumu sana kwa nini alichelewa kuanza kutumia pombe kwani ina flava za ajabu ambazo humfanya kusahau shida zake zote na kujikuta yko sayari nyingine. 

Post a Comment

 
Top