0



 
Ni kweli kabisa wolper, kila mtu anafanya uchafu pengine hata kushinda wa kwako, na uko sahihi kusema kila mtu ana Uhuru wa kufanya anavyotaka ila kumbuka wewe ni super staa aka kioo cha jamii. Ndo ujue sasa jinsi ya Ku ji behave na kuficha uchafu wako mbele ya Jamii, we jiulize huyo team ukweli anapata wapi habari zako? Jipange upya aiseeh.
Huyu Dada amekuwa mwiba Mkali kwa mastaa wa apa bongo na wote wanaojiita watoto wa mujuni, ni homa ya jiji, watu wanahaha kumfahamu na kujua anapata wapi habari za ndani na za siri kuhusu hawa mastaa wa kibongo?, hakuna anayejua, kila mtu anashangaa na kujiuliza, magazeti na blogs mbali mbali zimekuwa zikimzungumzia yeye. Japokuwa wengi wamekuwa wakimponda na kumuita mzushi na muongo, siku hadi siku followers wanazidi kumiminika kwa ajili ya kupata uji wa moto kuhusu mastaa mbalimbali apa bongo.
Ivi karibuni amefichua siri chafu za mwanadada jackline wolper ikiwemo ile ya usagaji pamoja na ya kukutwa akijiuza uko Nairobi na jamaa mmoja aliyefahamika kwa jina la mwami. Kitendo hicho kimemchanganya sana wolper na kumkosesha amani kwa kufuatiliwa na huyo anayejiita team ukweli na uwazi na kutoa siri zake za ndani.

Hiki ndicho alichokiandika kwenye mtandao wa instagram.

Post a Comment

 
Top