MASKINI! Kilio kikubwa cha Wema Isaac Sepetu ni kupata mtoto, Risasi Mchanganyiko linafunguka.
Habari zilieleza kuwa Wema amekuwa na kiu ya mtoto kwa muda mrefu na kwamba alishakuwa na wanaume tofauti lakini hawakumpatia mtoto.
Habari zilieleza kuwa Wema amekuwa na kiu ya mtoto kwa muda mrefu na kwamba alishakuwa na wanaume tofauti lakini hawakumpatia mtoto.
Ilisemekana
kwamba katika msururu wa wanaume aliominya nao kimalavu, iliwahi
kuripotiwa kuwa ni mwanaume mmoja tu aliyefanikiwa kumpa ujauzito lakini
kwa bahati mbaya mimba ilichoropoka.
Mwanaume aliyekuwa na mzigo huo ilidaiwa ni Prezidaa wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’.
Mwanaume aliyekuwa na mzigo huo ilidaiwa ni Prezidaa wa Bendi ya Mashujaa Musica, Charles Gabriel ‘Chaz Baba’.
Baada ya
kupania kwa muda mrefu bila mafanikio, ilidaiwa kuwa mwanadada huyo
mkali wa sinema za Kibongo aligeuzia mapenzi yake kwa mbwa (pets) wake
wawili, Van na Gucc ambao mmoja wao amezaa hivi karibuni.
Habari
zinadai kuwa, kutokana na mapenzi yake na mbwa hao, amekuwa
akiwagharamia mkwanja mrefu katika chakula na shopping za mavazi ya bei
mbaya.
WEMA ANAFAFANUA
“Nawapenda sana mbwa wangu, nawaona kama ndiyo watoto wangu kwani sina mtoto na ninatamani sana ila najua Mungu atanijalia siku moja muda ukifika,” alisema Wema na kuongeza:
“Nawapenda sana mbwa wangu, nawaona kama ndiyo watoto wangu kwani sina mtoto na ninatamani sana ila najua Mungu atanijalia siku moja muda ukifika,” alisema Wema na kuongeza:
“Kila
jambo na wakati wake, nitapata tu, nadhani ni suala la muda tu. Watu
wanaweza kushangaa namna ninavyowapenda mbwa wangu, nawathamini kwa
sababu wananipa faraja na nipo nao karibu. Nawajali kama binadamu.”
Kabla ya
Nasibu Abdul ‘Diamond Platnumz’ anayetoka naye kwa sasa, wengine
waliowahi kuonja penzi lake na wakashindwa kumpatia mtoto ni pamoja na
marehemu Steven Kanumba, Jumbe Yusuf na Chaz Baba.
Post a Comment