0

MKALI wa kuvurugwa, Snura Mushi ‘Snura’ ameweka plain kuwa anaweza kuuweka pembeni kwa muda muziki wa mduara na kuimba muziki wa taarabu kutokana na maoni ya mashabiki.

Mkali wa kuvurugwa, Snura Mushi ‘Snura’.
Akifunguka katika mahojiano maalum na Global TV Online, Snura alipoulizwa kuwa atafanya muziki wa mduara hadi lini ndipo alipobainisha kuwa anaweza kubadilika na tayari ana wimbo wa taarabu ameshaufanya.
Ili kutazama mahojiano kamili, ingia katika tovuti ya www.globalpublishers.info utakutana na mpango mzima kwani tayari umetupiwa tangu Jumatatu iliyopita.

Post a Comment

 
Top