Akizoza na mwandishi wetu, Mwasiti alisema: “Sitaki mwanaume,
nahitaji kujipanga kimaisha kwanza. Kama kuna mtu anafikiria kuwa na
mimi, aandike maumivu. Hakuna hiyo nafasi.
“Sina mwanaume na sitaki. Bado niponipo sana, nitabadili uamuzi huu mambo yangu yakikaa poa kimafanikio. Mapenzi si ya kukurupukia.”
“Sina mwanaume na sitaki. Bado niponipo sana, nitabadili uamuzi huu mambo yangu yakikaa poa kimafanikio. Mapenzi si ya kukurupukia.”
Post a Comment