Aunt Ezekiel katika pozi.
Akiteta na Risasi Mchanganyiko, shosti wa karibu na Aunt alisema:
“Yaani amekuwa mpweke sana, anasema hawezi kukaa mbali na mumewe kwa
muda mrefu kiasi hicho, anahisi anaweza kuibiwa ndiyo maana amepanga
safari ya ghafla, kesho (Alhamisi iliyopita) anaondoka na ndege ya
jioni.”
Aunt Ezekiel akiwa na mumewe Demonte.
Paparazi wetu alipomtwangia Aunt na kumpa mchongo mzima, alisema: “Ni
kweli kesho (Alhamisi iliyopita) jioni namfuata mume wangu, ukizubaa
unaweza kuibiwa hivihivi. Ngoja nikajifariji kwa baby wangu.”
Tangu Aunt aolewe na mumewe Demonte, amekuwa akitumia muda mrefu zaidi hapa Bongo lakini mara kadhaa husafiri kumfuata Dubai.
Post a Comment