Mbunge mpya wa Jimbo la Chalinze, Ridhiwani Kikwete.
MATOKEO rasmi ya Uchaguzi Mdogo Jimbo la Chalinze yametangazwa ambapo
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepata jumla ya kura 20812, Chama cha
Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), kikipata kura 2628 na chama cha
Wananchi CUF kimepata kura 473, AFP 78 na NRA 59.
Kwa matokeo hayo, Chama cha Mapinduzi (CCM) kimeshinda Kiti cha
Ubunge Jimbo la Chalinze kwa asilimia 86.5 kupitia kwa mgombea wake
Ridhiwani Kikwete.
Matokeo ni kama ifuatavyo:
Post a Comment