Akipiga stori na paparazi wetu, Shishi alisema yupo tayari kuolewa na Mziwanda kwani anampenda na ndiyo ubavu wake kutokana na vile ambavyo amekuwa akimwonesha mapenzi ya kweli tofauti na wapenzi wake wote waliopita.
‘Shishi Baby’akiwa kwenye pozi na Nuhu Mziwanda.
“Huyu ndiye shemeji yenu, ndiye mume wangu mtarajiwa, ninampenda na
yeye ananipenda kwa hiyo Mungu akijalia soon tutakamilisha taratibu za
ndoa,’’ alisema Shishi Baby.
Post a Comment