WEMA SEPETU
Na Livingstone Mkoi
Kufuatia msanii nyota nchini akishirikiana na wapambe wake kuvamia ofisi za magzeti pendwa ya Global Publishers katika ya wiki hii na kufanya vuruge za hapa na pale huenda Wema na wapambe wake wakatiwa mbaroni kisha kufunguliwa mashtaka kwa kosa la kufanya fujo na kutishia amani ndani ya chumba hicho cha habari.
Kwa mujibu wa mwanasheria maarufu Jijini Dar aliyejitambulisha kwa jina Erick Msemakweli aliieleza Xdeejayz kuwa " Lile tukio alilolifanya Wema na wapambe wake ni kosa kisheria kwani hakuwa sababu ya kufanya vile kwani sheria zimewekwa kama aliona hajatendewa haki alitakiwa kwenda kwenye mamlaka husika kwa ajili kufungua kesi na sio kuvamia na kuleta fujo kama inavyoelezwa" Alisema mtaalamu huyo wa sheria
Aidha katika hatua nyingine mwanasheria huyo aliongeza kusema" Endapo Global wataamua kufungua kesi kwa kufanyiwa fujo basi kuna Uwezekano Wema na wapambe wake wakashitakiwa kwa mujibu wa sheria" Alimaliza kusema.
CREDIT:XDEEJAYZ

Post a Comment