Home
»
PICHA
» Agnes Masogange amchoresha rafiki yake huko INSTAGRAM!!!! Jionee mwenyewe
Dada yetu Agnes Masogange leo kupitia mtandao wa #INSTAGRAM ameweka
picha zake akiwa na rafiki yake ambaye kwa mujibu wa comments za
Followers wa Masogange ni kwamba analaumiwa kwa kama amemchoresha hivi
rafiki yake kwani yeye Masogange ana FIGURE matata wakati rafiki yake
ndio hivyo tena........ Jionee mwenye hapa!!! hizo Photos zilizo leta
mzozo huo
Post a Comment