AJALI hii imetokea muda mfupi uliopita eneo la Ubungo, Darajani jirani na River Side katika Barabara ya Mandela jijini Dar baada ya lori hili kukatika ringi za tairi za mbele katikati ya barabara. Katika ajali hiyo, hakuna abiria aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha!
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Post a Comment